iqna

IQNA

IQNA – Usiku wa tarehe 7 hadi 8 Septemba 2025, tukio nadra la kupatwa kwa mwezi kwa jumla, linalojulikana kama Mwezi Mwekundu, litaonekana katika maeneo mengi duniani. Tukio hili la kiasili litaambatana na kuswaliwa kwa swala maalumu ijulikanayo kama Sala ya Ayat na Waislamu katika sehemu mbalimbali.
Habari ID: 3481191    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/07

TEHRAN (IQNA) - Leo Jumapili mamilioni ya watu katika mabara ya Afrika, Asia na Ulaya wameshuhudia moja ya tukio la jua kupatwa na mwezi.
Habari ID: 3472883    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/21